Garde communale

Garde Communale iliundwa mnamo mwaka 1996 kama nguvu ya ziada na serikali ya Algeria, chini ya uongozi wa mamlaka ya Jeshi la Watu la Taifa la Algeria. Ilikua na jukumu muhimu katika vita dhidi ya ugaidi dhidi ya makundi ya magaidi wenye silaha.[1][2]

  1. "ALGÉRIE : 11 gardes communaux tués près de Bir el-Ater", 16 Oktoba 2001. 
  2. l'Etat oeuvrera à répondre aux préoccupations des éléments de la Garde communale

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne